MUKOKO TONOMBE AONDOKA YANGA

Club ya Yanga imetangaza kuwa Kiungo wao Tonombe Mukoko kutokea Congo DR anaondoka na kujiunga na TP Mazembe ya kwao Congo, Yanga hawajaweka wazi Mukoko kama ameenda kwa mkopo au ameuzwa jumla ila taarifa zilizopo alikuwa na mkataba wa miezi sita na Yanga.